 Kaka naomba utuwekee hili tangangazo la Mh. Balozi kuzungumza na Watanzania wa Birmingham na vitongoji vya siku ya jumamosi 02/10/2010 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 11. address ipo kwenye hiyo flyer nimekutumia.
Kaka naomba utuwekee hili tangangazo la Mh. Balozi kuzungumza na Watanzania wa Birmingham na vitongoji vya siku ya jumamosi 02/10/2010 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 11. address ipo kwenye hiyo flyer nimekutumia.Naomba uwasisitize Wabongo watakuwa wanakuja kuzingatia sana muda.
Asante kwa kazi yako njema kaka.
 
