Adverts

Oct 2, 2010

Dogo kwa shabaha huyu balaaa!

Haya ndiyo maisha yetu ya kila siku huku vijijini tunaishi akili mukichwa, ukishangaa utabaki bila bila, hatusubiri  baba alete kuku nyumbani, wakati mwingine tunaleta nyama wenyewe!!! ni mitaa ya makazi mapya Ilolo-TACRI Mbimba, mjini Mboozi