Adverts

Oct 2, 2010

MAMBO YA WAPIGA DEBE WANAPOTENGENEZA MUVI HADHARANI!

 Walianza Hivi: Aise nitakutoa roho usiniletee mambo ya nani hiiii!!!
 Aaah kumbe unang'ata! sasa utanikoma chukua hiyo kwanza !!!!!!!!!!!!!
 Jamani mnaharibu amani ya nchi, mbona mnachafua hali ya hewa hapa? Ila dogo umenifinyanga manake naona presha inapanda kwa huku nyuma!!!
 Wakavua mashati: Bado unanifuata hivi unafikiri sikuogopi nakuogopa ohooooo!!
 Raia wema wakaingilia kati: lakini wapi watu wakaendelea kupotezeana mood" filamu likaendelea weee baadaye askari magereza akatokeza akaharibu picha.
Picha lilikuwa na mashabiki wengi wa kulitazama si unaona nyomi yote hii, Haya ni matukio ya nguvu zilizotokea leo mchana katika kituo cha mabasi cha Vwawa Makaburini wakati nikiwa kwenye pita pita zangu mitaani.