| Washiriki wakifuatilia mawasilisho katika ukumbi wa hotel ya Millenium Sea Beach View Bagamoyo |
| Mkurugenzi wa TACAIDS katika eneo la Ulagbishi na miongozo ya kinga Bwana ASHIM KALINGA akionyesha mkakati wa Taifa wa kudhibiti Maambukizi ya VVU wa mwaka 2008-2012 wakati wa kufunga warsha hiyo |
| Baada ya hapo ikawa ni kupause kwa picha |
| Haule naye wa Njombe alikuwepo!! |
| Mwanya bwana!!!!!! |